waandishi habari

IQNA

IQNA-Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu imetangaza Jumapili kuwa Gaza imegeuka kuwa sehemu hatari kuliko zote duniani kwa wanahabari, huku angalau wafanyakazi 295 wa vyombo vya habari wakithibitishwa kuuawa katika mashambulizi ya Israel tangu kuanza kwa vita Oktoba 2023.
Habari ID: 3482200    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/04

IQNA – Wapigania haki za Wapalestina wamezindua kampeni mahsusi ya vyombo vya habari yenye lengo la kuwakomboa wafungwa walioko katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel, wakisisitiza kuwa mshikamano wa kimataifa na uelewa mpana ndiyo nguzo kuu ya kufanikisha uhuru wao.
Habari ID: 3481783    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/08

Jinai za Israel
IQNA – Mwaka jana ulikuwa mwaka wa vifo vingi zaidi katika historia ya waandishi wa habari, ambapo vifo 124 viliripotiwa, ambapo utawala wa Israeli unahusika na asilimia 70 ya vifo hivyo. Hii ni kulingana na Tume ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ).
Habari ID: 3480209    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano yalifanyika mjini Brussels siku ya Jumatatu kupinga jinai ya Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza ikiwa ni pamoja na mauaji ya waandishi wa habari.
Habari ID: 3478311    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mwandishi mwingine wa habari wa Kipalestina ameuawa katika mashambulizi ya anga ya Israel huko Gaza huku vita vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza vikiendelea kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja.
Habari ID: 3477860    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/08

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Waandishi habari wapatao hamsini na watano wa Kipalestina wameuawa na utawala katili wa Israel tangu mwaka 2000 ikiwa ni katika njama za utawala huo wa kikoloni za kuzuia habari za jinai zake dhidi ya Wapalestina kuwafikia walimwengu.
Habari ID: 3476384    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11

Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Waandishi wa habari wa Morocco wamepinga kufunguliwa nchini humo ofisi za televisheni ya utawala haramu wa Israel ya i24 na wametaka zifungwa mara moja.
Habari ID: 3475374    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14